Advertisements

Saturday, April 19, 2014

DJ LUKE ATUA COLUMBUS, OHIO

Dj Luke akipata ukodak moment na mjumbe Joe Ngwilizi na Katibu wa Jumuiya ya Watanzania Columbus, Ohio Bi. Happiness Salukele nje ya Hoteli ya Hilton. Dj Luke yupo maalum kwa ajili ya kuwarusha mashabiki wake leo usiku Comfort Inn iliyopo 1213 E. Dublin Granville Road, Columbus, Ohio kwenye fundraising Dinner ya Jumuiya ya Watanzania Columbus, Ohio ambayo Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula ndiye mgeni rasmi.

No comments: