Advertisements

Friday, April 18, 2014

HARUSI YA EDNA NA BRAILLE WAGENI WAANZA KUWASILI HOUSTON, TEXAS.

Wageni mbalimbali kutoka kila kona ya Dunia wameanza kumiminika Houston kwenye harusi ya Edna na Braille itakayofanyika kesho Jumamosi April 19, 2014 H-Town.
Kushoto ni Bi harusi mtarajiwa Edna akiwapokea dada  zake na shangazi waliowasili Houston Alhamisi April 17, 2014 tayari kushuhudia na kuhudhuria harusi ya Edna atakae funga ndoa kesho na Braille.

No comments: