Advertisements

Thursday, April 24, 2014

Jhikoman & Afrikabisa Band ameshatua nchini Finland kuanza Europe Tour 2014

MWANAMUZIKI JHIKOMAN AMESAHATUA FINLAND

KUANZA MAKAMUZI YA UGHAIBUNI !

FINLAND,NORWAY, GERMANY KUPATA BURUDANI KAMILI
Mwanamuziki maarufu wa Reggae Afrika mashariki Jhikoman na mzuka wake wa Afrikabisa Band kutoka mjini Bagamoyo, Tanzania ameshatua nchini Finland kwa ziara ya miezi mitatu barani ulaya.Mwanamuziki huyo alutua katika uwanja wa ndege wa HELISINK mapema 24. April 2014,

ambako anataraijia kufunika katika maonyesho makubwa ya kimataifa katika nchi za Ujerumani,Finland,Norway na kwingineko

No comments: