ANGALIA LIVE NEWS

Monday, April 28, 2014

JUMUIYA DMV YAIKABIDHI KILIMANJARO STARS UZI MPYA

 Rais wa Jumuiya ya Watanzania Idd Sandaly akimkabidhi jezi za Kilimanjaro Stars timu kepteni Seif Ndossa kwenye mechi ya maadhimisho ya sherehe ya miaka 50 ya Muungano iliyofanyika Greencastle Park siku ya Jumapili APRIL 27, 2014 na timu zote kufungana 2-2 na mpira ukavunjikia kwenye mikwaju ya penati picha za mechi zinakuja.

No comments: