ANGALIA LIVE NEWS

Monday, April 28, 2014

WATU MBALIMBALI WAONYESHA UZALENDO KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MUUNGANO GREENCASTLE PARK

Mhe. Mwigulu Nchemba na katibu wake katika picha ya pamoja na Afisa Mindi Kasiga kwenye viwanja wa Greencastle Park Mhe. Mwigulu Nchemba akiwa na skafu na fulana yenye rangi za bendera ya Tanzania.
Mhe. Balozi Mulamula katika picha ya pamoja na Watanzania waliovalia jezi ya timu ya Taifa Justa Matalemwa (wapili kushoto) na Asha (kulia) wengine katika picha ni Maafisa Mgendi na Mindi Kasiga.
Watanzania kutoka Ohio mmoja akiwa amevalia jezi ya Zanzibar Heroes.
Loveness Mamuya na mdau kutoka New York.
VitalisiGunda (kushoto) na Abdul Sebo.
 
Missy Temeke na Afisa Mindi Kasiga
Wadogoo wakiwa kwenye jezi ya Taifa Stars

No comments: