Advertisements

Sunday, April 20, 2014

MABONDIA CHEKA,MIYEYUSHO WASHINDWA KUTAMBA KING CLASS MAWE AMSAMBALATISHA MUSTAFA DOTO

Bondia Ibrahimu Class' King Class Mawe' kushoto akimwadhibu Mustafa Dotto wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 19 jijini Dar es salaam King class alishinda kwa pointi mpambano huo 
Bondia Ibrahimu Class' King Class Mawe' kulia akiendelea kumwadhibu Mustafa Dotto wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 19 jijini Dar es salaam King class alishinda kwa pointi mpambano huo
Bondia Mustafa Dotto kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mpambano wao uliofanyika PTA Sabasaba King Class alishinda kwa Point 
Bondia Ibrahimu Class' King Class Mawe' kushoto akimwadhibu Mustafa Dotto wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 19 jijini Dar es salaam King class alishinda kwa pointi mpambano huo
FURAHA YA USHINDI
KING CLASS MAWE AKIOJIWA BAADA YA KUIBUKA MSHINDI
KING CLASS MAWE KATIKATI ALIEKAA AKIWA NA MARAFIKI ZAKE BAADA YA USHINDI

Bondia Fransic Cheka kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Gavad Zohrehvand wa Iran wakati wa mpambano wao wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam mpambano huo uliamliwa kwa droo ya kufungana point 

Bondia Sukkasem Kietyongyuth kutoka Thailand kulia akiwa amemkalisha bondia fransic Miyeyusho katika raundi ya kwanza ya mpambano wa raundi kumi na kufanikiwa kwshinda kwa K,O 
Bondia Fransic Miyeyusho kushoto akijitutumua kupigana na Bondia SukkasemKietyongyuth kutoka Thailand miyeyusho alipigwa raundi ya kwanza bila huruma 
Bondia Fransic Miyeyusho kushoto akijitutumua kupigana na Bondia SukkasemKietyongyuth kutoka Thailand miyeyusho alipigwa raundi ya kwanza bila huruma picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments: