Advertisements

Monday, April 14, 2014

MAGUFULI APIGA STOP LIKIZO KWA WATUMISHI WOTE WA WIZARA YAKE NA TANROADS

Waziri wa Ujenzi Dr. John Magufuli amezuia likizo zote kwa watumishi wa Wizara ya Ujenzi na TANROADS, ili kushughulikia ukarabati wa madaraja makubwa zaidi ya 5 ya kuunganisha mikoa, ambayo yamebomolewa na mvua zinazoendelea kunyesha.

No comments: