ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, April 22, 2014

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL KUFUNGUA MKUTANO WA 28 WA MWAKA WA MIMR NA KONGAMANO LA PAMOJA LA WANASAYANSI LAANZA LEO JIJINI DAR

Mkutano wa 28 wa Taasisi ya Taifa ya utafiti wa Magonjwa ya Binadamu Tanzania (NIMR) umeanza leo jijini Dar es Salaam na kufanyika kwa siku tatu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) unafanyika sambamba na na Kongamano la Wanasayansi watafiti barani Afrika.
Mtafiti Mkuu na Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kutoka Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu, Leonard Mboera akiwasilisha moja ya tafiti walizofanya kuhusiana na ugonjwa wa malaria kwa nchi za Ukanda wa jangwa la Sahara. 

Baadhi ya wa tafiti wanasayansi kutoka nchi mbalimbali wakifuatilia uwasilishaji wa trafiti mbalimbali
Mtafiti Mkuu na Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kutoka Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu Dr. Leonard Mboera akiendelea kuwasilisha.

Watafiti wakifuatilia mada hizo.
Mkurugenzi wa Vector Control Operations, Dr.Steven Magesa akichangia mada.
Mkurugenzi Mkuu wa Zamani wa NIMR, Dr. Andrew Kitua akichangia mada. Father Kidevu

No comments: