Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula (kulia)akiwaongoza maafisa wa Ubalozi Paul Mwafongo kushoto na Suleiman Saleh wa pili kutoka kushoto kumpokea Naibu Waziri wa fedha Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba alipowasili leo katika uwanja wa kimataifa wa Dulles kwa ajili ya kuungana na Watanzania waishio nchini Marekani katika maadhimisho ya miaka 50 ya sherehe ya muungano.

No comments:
Post a Comment