
Kuna Nasafi Ya Kazi anahitajika Mtanzania Mwenye Uwezo wa Kutafsiri Mahakamani .
Kutoka Kizungu Kwenda Kiswahili, na Kutoka Kiswahili Kwenda Kizungu.
Kazi itaanza Rasmi May 5, 2013.
Awe ni Mtanzania, awe na Makaratasi Na Mwanachama wa Jumuiya ya DMV.
Kwa Maelezo Zaidi .
Piga 301-613-5165 au Andika info@watanzaniadmv.org
Wenu
Iddi Sandaly
Rais
Jumuiya ya Watanzania DMV
No comments:
Post a Comment