Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula katika picha ya pamoja na Mhe. Mwigulu Nchemba Naibu Waziri wa fedha (S) hotelini kwake Rocville, Maryland alikofikia mara tu baada ya kutoka uwanja wa ndege wa Dulles siku ya Alhamisi April 25, 2014
Picha ya pamoja Balozi Libarata Mulamula, Maafisa Ubalozi Suleiman Saleh (wapili kushoto), na Paul Mwafongo (kulia) Naibu Waziri wa Fedha(S) Mhe. Mwigulu Nchemba na katibu wa Naibu wa Fedha (S) Moses Dusse.
Picha ya pamoja
No comments:
Post a Comment