Afisa Mindi Kasiga akisherehesha kwenye hafla fupi muendelezo wa sherehe ya maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano iliyofanyikia Marriott maalum kwa ajili ya Mabalozi kutoka nchi mbalimbali hapa Marekani.
Mwananmuziki kizazi kipya kutoka Californi Erica Lulakwa akiimba wimbo wa taifa.
Mhe. Liberata Mulamula akiongea na wageni waliofika kwenye hafla hiyo wakiwemo mabalozi.
Mhe. Liberata Mulamula akimtambulisha mumewe Bwn. George Mulamula.
Waziri wa Nchi ya Ofisi ya Rais Zanzibar Dr. Mwinyihaji Makame akiongea machache na wageni waalikwa waliofika kwenye hafla hiyo iliyofanyika Marriott Hotel wakiwemo Mabalozi.
Naibu Waziri wa Fedha(S) Mhe. Mwigulu Nchemba akoingea na wageni waalikwa.
Miss Tanzania USA Pageant, Joy Kalemera nae akiongea kwenye hafla hiyo.
Erica Lulakwa akiimba.
Naibu Mwakilishi wa kudumu kwenye Ubalozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa Balozi Ramadhani Mwinyi (kulia) katika picha ya pamoja na mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania New York Bwn Haji Khamis.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment