Mpwa akikorofisha mitambo ndani ya mjengo wa Ubalozi siku ya Jumamosi April 26, 2014 kwenye maadhimisho ya sherehe ya Muungano.
Warioba na Asha Madoshe kutoka California wakipata ukodak moment na Mhe. Balozi Liberata Mulamula na Mmewe Bwn. George Mulamula
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akimtambulisha mumewe Bwn. GeorgeMulamula kwenye Hafla ya usiku maalum kwa Mabalozi.
Tosi ikifanyika.
Warioba katika picha ya pamoja na Mhe. Mwigulu Nchemba.
No comments:
Post a Comment