ANGALIA LIVE NEWS

Monday, April 28, 2014

RAIS KIKWETE AZINDUA RASMI KITUO CHA MAGONJWA YA MOYO KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI JIJINI DAR ES SALAAM

Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete akiongea na mmoja wa wagonjwa watoto waliofanyiwa upasuaji kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kukifungua rasmi siku ya Jumapili April 27, 2014
Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete na Makamu Mwenyekiti wa chama tawala cha China cha National People's Congress Mhe. Chen Changzhi (kushoto) wakioneshwa moja ya vifaa vya kisasa vya kuchunguzia maradhi kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kukifungua rasmi siku ya Jumapili April 27, 2014
Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete na Makamu Mwenyekiti wa chama tawala cha China cha National People's Congress Mhe. Chen Changzhi (kushoto) wakiangalia baadhi ya wagonjwa waliofanyiwa upasuaji kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kukifungua rasmi siku ya Jumapili April 27, 2014
Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete na Makamu Mwenyekiti wa chama tawala cha China cha National People's Congress Mhe. Chen Changzhi wakipata maelezo ya utendaji wa mashine katika chumba cha wagonjwa mahututi kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kukifungua rasmi siku ya Jumapili April 27, 2014
Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete akimsindikiza Makamu Mwenyekiti wa chama tawala cha China cha National People's Congress Mhe. Chen Changzhi (kushoto) baada ya uzinduzi rasmi wa kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili rasmi siku ya Jumapili April 27, 2014.

PICHA NA IKULU

No comments: