Advertisements

Thursday, April 24, 2014

RODGERS EXPORTS LLC

RODGERS EXPORTS LLC. INATOWA HUDUMA YA USAFIRISHAJI MIZIGO U.S.A. to TANZANIA
Tunawatangazia watanzania wote na marafiki wanaoishi hapa USA na wale wanaoishi tanzania, Hudumazetu za usafirishaji mizigo kutoka USA kwenda Dar es Salaam na Zanzibar Tanzania,
Kumbuka Rodgers Exports LLC  inapokea mizigo inayonunuliwa na watanzania mbali mbali na marafiki wanaoishi njee ya USA, na kusafirisha mizigo hiyo Tanzania, Ndugu mtanzania na marafiki nunuwa bizaa bora zinazotengenezwa hapa USA, (Use Rodgers Exports LLC Adres for Delivery), wasiliana na Haji kwa maelekezo zaidi kuhusu huduma zetu mbali mbali.
RATIBA YA UKUSANYAJI WA MIZIGO NORTH STATE PA, DL, NJ, NY, CT, MA, and (DMV) Kontena letu litaondoka April-30 watuwote wanaopendelea kutumia huduma zetu wasiliana na Haji 919-672-6063 kwa maelekezo zaidi ya bei na wakati wa uchukuwaji wa mizigo, kontena hili litafika Tanzania wiki ya kwanza ya mwezi wa July.  (Always visit Vijimambo blog for Rodgers Exports LLC updates. Visit our website) at
WWW.RODGERSEXPORTS.COM              or Write to Us at 

4 comments:

Anonymous said...

mbona mizigo yetu inchukua miezi mine mpaka mitano? tofauti na maelezo yako kaka, watu wengi sasa wamekuwa disappointed na wewe, kuwa mkweli na biashara

Anonymous said...

HASWA, INASIKITISHA KUONA MTANZANIA MWENZETU ANATUFANYIA UHUNI. HATA MIMI MWEZI WA SITA SASA MZIGO HAUJAFIKA KISARAWE. LESSON LEARNT

Anonymous said...

Ni bora kuwaeleza watu kabisa unapochukua mizigo yao kuwa mizigo inafika lini kuliko kutoa ahadi ambazo sio za ukweli. Udanganyifu unaharibu biashara. Mizigo inachukua miezi sita hadi saba. Jaribu kuangalia utaratibu mzuri zaidi.

Anonymous said...

Wakati mwingine mizigo inachukua muda kutokana na urasimu wa bongo nilikua Tanzania wakati nasubiria mizigo yangu,nilimlaumu sana kaka Haji Ila.nikagundua sio yeye ni uswahili wa bandarini ndo unakwamisha, najua estuary wamelalamika na Mimi nikiwa mmoja wao, kwa hasira kubwa nikaamua nitumie peke yangu sasa imechukua mwaka sijapata.