Advertisements

Thursday, April 24, 2014

SAKATA LA CHID BENZ KUTAKA KUMUUA DEMU

Rashid Makwiro ‘Chid Benz’.
MAJANGA! Msanii wa Hip Hop anayetokea Ilala, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ amedaiwa kumpa kipigo kizito mpenzi wake wa zamani aliyefahamika kwa jina la Mwanaisha Kiboye
Tukio hilo lililokusanya umati wa watu lilijiri Jumapili iliyopita maeneo ya Buguruni (kwenye mafleti) jijini Dar ambapo Chid alikuwa kwenye mizunguko yake na mpenzi wake wa sasa ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja.

No comments: