Kingdom Tower litakuwa na urefu wa feel 3,280 sawa na kilometer moja kwenda juu. Gharama za usimikaji wa jengo hili ni Dollar Bil 1,23 lita kuwa na floor 200, ujenzi wa jengo hili utatumika kwa zege na vyuma. Feel 5.7 zege itachukua nafasi na tons 80,000 ni vyuma vitachukua nafasi hadi kukamilika.
No comments:
Post a Comment