Video Credits: Swahilivilla Videos
ASANTENI...
Asanteni HCP Metro DC na NesiWangublog
Asanteni wataalamu wa afya waliojitolea,
Asanteni TanoLadies ,uongozi wa University Methodist Church
Uongozi wa The Way Of The Cross Gospel Ministriy, jumuiya ya Watanzania 'ATC' pamoja na wote mliojitoa kufanikisha huduma hii.
ZAIDI YA YOTE, Shukrani kwa Ebou Shatry Swahilivilla Blog ambaye bila yeye, wote tuliokosa kuhudhuria tusingejua kilichotokea.
WAKATI UJAO TUSIKOSE
Zifuatazo ni picha kwa hisani ya NesiWangu Blog
Timu nzima iliyojitolea
No comments:
Post a Comment