ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, April 24, 2014

Sikiliza AUDIO ya Mchango wa Mhe. Kadali Lincoln Singo Bungeni Kuhusu Raia pacha

 Mhe. Kadali Lincoln Singo

2 comments:

Anicetus said...

Mwakilishi wetu wa Ugaibuni Bwana Singo amejitahidi sana kueleza maonni ya Viongozi na pamoja na maoni ya Watanzania waishio Ugaibuni. Hotuba yake imeonyesha kwamba wabunge wengi wamepiga makofi na kukubali maombi ya wanadiaspora. Hii ni mara ya kwanza kwa watanzania wanaoishi ugaibuni kuonyesha uzalendo na upendo wa nchi yao-Tanzania. Tuendelee kuchangia kimawazo kwa wabunge ambao wanapinga uraia pacha pamoja na wafuasi wao kwamba watanzania wa ugaubuni na watanzania ni wazalendo popote pale wanakoishi na wako tayari kuimarisha maisha bora ya watanzania wote.

Anonymous said...

Are those California divorce rates? Be careful, you are in Tanzania now.