Advertisements

Wednesday, April 23, 2014

TAARIFA YA MSIBA - MINNESOTA

Mwanajumuija mwenzetu Aziz Manguda wa New Brighton, MN anasikitika kutangaza kifo cha kaka mkubwa yake Abdul Rubama aliyefariki Jumanne 04/22/14 huko Tanzania.
Msiba utakaombatana na kisomo cha dua kwa ajili ya marehemu utafanyika Jumamosi 04/26/14 kuanzia saa 5:00 p.m.
Tunawaomba msaada wa kuandaa chakula kwa kina Mama na vinywaji kutoka kwa kina Baba. Mjilishe Aziz (763-221-3105) kama unaleta chakula ili kurahisisha mipango.
Tunakuomba sambaza huu ujumbe kwa wanajumuiya.

No comments: