Advertisements

Tuesday, April 22, 2014

TANGAZO LA MSIBA DMV

Ndugu yetu na mtanzania mwenzetu, Fenista Msungu amefiwa na mama yake
mzazi nyumbani Tanzania mkoani Iringa. Kifo kimetokea leo tarehe 22/4/2014
majira ya mchana kwa Tanzania na hapa saa 11 asbuhi ( 5am ).

Kama desturi yetu watanzania ya kupeana pole, mpigie simu namba
202 423 0915. Pia kwa maelezo zaidi piga simu namba 
kwa mchungaji Stella Swai anaekaa nae.

Msiba utafanyika kwenye anwani hii 3450 Tolledo Terrace, Apt 215,
Hyattsville MD 20782.

MUNGU AWABARIKI NDUGU ZETU WATANZANIA.
Imeletwa kwenu na Mchungaji Malekela 2406042446

No comments: