Advertisements

Sunday, April 20, 2014

TUNAWATAKIA PASAKA NJEMA

Ndugu Waumini Wakatoliki DMV na Popote,
Nawatakieni kila Baraka na Heri katika juma hili takatifu na kwa sikukuu ya Pasaka - Ufufuko wake Bwana wetu Yesu Kristu.
Tuliombee Taifa letu Amani kama salamu ya kwanza ya Yesu Mfufuka inavyotufundisha. "Amani iwe Kwenu" ndio maneno yake kila anapokutana na watu wake.
Siku ya Muungano inakaribia na Jumapili ya Tarehe 27, Aprili ni Misa kwa Lugha ya Kiswahili. Mara hii navyokumbuka itakuwa Baltmore MD 21216, 901 Poplar Grove St.
KARIBUNI SANA
Watakaotajwa watakatifu siku hiyo Papa John XXIII na John Paul II Watuombee.

No comments: