ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, April 30, 2014

Usikose mkesha wa May Day leo usiku na Skylight Band ndani ya Escape One

DSC_0314
Bendi yako ya kijanja Skylight inakutangazia ratiba yake ya leo kwenye mkesha wa May Day ndani ya Kiota cha Escape One Mikocheni kuanzia saa 2 usiku mpaka kieleweke...Njoo ucheze ma-style ya nguvu ikiwemo style mpya ya "Kikuku Kwiyo-kwiyo"...Just Follow the light!

No comments: