Vazi la khanga lina pendeza sana kwa mwanamke wa kiafrika aliekamilika kila idara, Tulipende vazi ili kwa kulivaa bila kujizalilisha. Wanawake wengini ulitumia vazi ili kwa kulalia au wakati ametulia nyumbani na baba mwenye nyumba wake. Kwa wale wa ukanda wa pwani wanaweza kujua sifa na siri ya vazi ili.


No comments:
Post a Comment