Advertisements

Wednesday, April 16, 2014

VIDEOZ MH:MWIGULU NCHEMBA AKIOMBA MWONGOZO,RAIS ATENGUE UTEUZI WA WAJUMBE WALIOKIMBIA BUNGENI HII LEO 16/04/2014,PIA MATUMIZI MABAYA YA POSHO


1 comment:

Anonymous said...

Vipi mbona Video za Mh. Mwigulu Nchemba zimezidi humu kwenye mablogu, hata akizungumza utumbo basi ni Breaking News!! Kususa au kutoka nje ya kikao ni suala la kawaida katika jamii za kidemokrasia, kuonyesha kutoridhika na jambo lolote. Tatizo ni pale ambapo upande mmoja unalazimisha wote mkubaliane na hoja za upande huo. Kama ilivyokuwa kwenye enzi za Zidumu Fikra za Mwenyekiti, bila ya hoja au mtizamo tofauti. Kwa Tanzania inaonekena kwa demokrasia bado tuko mbali sana, itachukuwa labda karne nyingine!!