ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, April 30, 2014

WAMETISHA: PICHAZ 10 KALI ZA JWTZ AMBAZO NI GUMZO KUBWA MPAKA LEO MITAANI...!

Inawezekana raia wengi wa Tanzania tulikua hatujui nguvu ya jeshi letu la Wananchi,vifaa vyake pamoja na matumizi ya vifaa hivyo hasa inapotakiwa kuvitumia,April 26 Tanzania tulikua tukitimiza miaka 50 ya Muungano wetu kati ya Zanzibar na Tanganyika na kuzaliwa kwa Tanzania.

Miongoni mwa vitu ambavyo vilivyovuta hisia za wengi ni namna vifaa vya Jeshi la Wananchi vilivyokuwa vikipita huku MC akitoa maelezo ya kila kimoja,hizi ni baadhi ya picha za vifaa hivyo vya JWTZ.

1 comment:

Anonymous said...

Eye ehhhh bwana weeee tuna ndege za ki vita nzuri kipita za kawaida . Za kawaida nzeeeeee alafu iko moja tu