ANGALIA LIVE NEWS

Friday, May 23, 2014

ANGALIA VIDEO:MADAM RITA,AY FLAVIANA MATATA NA WAMPIGANIA DIAMOND!!!

Hawa ni moja ya watu maarufu hapa Tzee, wametokea kumfanyia bonge la promo Diamond Platnumz, baada ya kuwa nominated kwenye tuzo za kimataifa anazowania hivi sasa, Diamond Platnumz ameweza kubahatika kuwania tuzo zipatazo tano zakimataifa hivi sasa, tuzo zitakazo mwezesha si tu kuwa na jina kubwa na kufanikiwa kimataifa, bali ni kuipeperusha bendera ya Tanzania, angalia hapa anavyopewa promo kuelekea tuzo za MAMA za Mtv.

No comments: