ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, May 18, 2014

DIAMOND PLATNUMZ-LIVE PERFOMANCE ON THE ROAD TO MTV MAMA AWARDS CLUB BIL...

3 comments:

Anonymous said...

Tunaupenda mziki wako Bwn Diamond tatizo kubwa ni uvaaji wako wa kuonyesha nguo za ndani. Ujue wewe ni kioo cha jamii, sasa sijui utamaduni wa Mtanzania upo wapi hapa? Nakushauri utafute maana halisi ya kuvaa suruali chini ya kiuno!, Nina uhakika ukijua maana yake hutarudi kushusha tena labda unakubaliana na maana yake.
Kipajo unacho lakini kitumie vizuri!, nashindwa kuja kuangalia live mziki wako kwa sababu hii.
Asante,

Anonymous said...

Nakuunga mkono mdau!
Siyo yeye tu vijana wetu wa Kitanzania tudumishe mila na desturi zetu, tuache kuiga mambo mengine ambayo hayana maana!
Asante Vijimambo kwa kuelimisha jamii yetu!

Anonymous said...

NIMEFURAHI SANA KUSOMA COMMENT ZA WADAU WENZANGU NIIKUWA ZAMANI NAWAABIAGA HAPA KATIKA HII BLOG KWA COMMENT ZANGU KWAMBA KUVAA HIVI KWA KUSHUSHA SURUALI CHINI TUNAJUA HISTORIA YAKE AU TU TUNAVAA TUU YANI TUKIJUA HII HISTORIA YA USHUSHAJI SURUALI CHINI YA MAKALIO HATUTOFANYA HIVI KAMA TUKITUMIA AKILI ZETU NA BUSARA NA UTAMADUNI WETU ULIO TULEA OTHER WISE KAMA NDO TUNAKUBALIANA NA UTAMADUNI HUU WA KUVAA NA KUSHUSHA CHINI SURUALI BASI TUWAACHEEE NA WAANDE NA UTAMADUNI WA KIGENI.

NIMEFURAHI SANA KUONA WADAU WENZANGU NAO WANA COMMENT KUHUSU JAMBO HILI MIMI ZAMANI NILIKUWA NAONEKANA MNOKOO SASA WATU WAPO WANASOMA NA KUJUA.

NA NIMESHUHUDIA HARUSI HUKU NYUMBANI KAJA MWANAUMME SHARO BARO KAFUNGA NDOA NA MTOTO MPOLE SANA WA KIMASIKINI KIJIJINI KWETU ETI KAVAA SURULIA CHINI YA MAKALIO NILISIKITIKA SANA NA AKAPEWA MTOTO NA KUCHUKUA JIKO LAKE KWENDA NAYE DAR ES SALAAM HADI LEO INANIUMA HII KITU LAKINI UTAFANYAJEEE JAMII YA KITANZANIA NDO HIYO TENA UMASIKI TUNAO NA TUNAPOTEA KWA VISHAROBARO WA KUVAA SURUALI MAKALIONI

WHAT A SAD THING WHAT A SAD THING