Wednesday, May 21, 2014

FLAVIAN MATATA KUSHIRIKI MISAA YA KUWAOMBE WALIOFARIKI KWENYE AJALI YA MV BUKOBA

KWA MWAKA WA TATU SASA MWANAMITINDO FLAVIANA MATATA ANAEFANYIKA SHUGHULI ZAKE ZA UANAMITINDO NCHINI MAREKANI ATAUNGANA NA WATANZANIA WOTE LEO HII KUSHIRIKI MISA YA KUWAREHEMU WALIOFIKWA NA MAUTI KATIKA AJALI YA KUZAMA KWA MELI YA ,MV MUKOBA MIAKA 18 ILIYOPITA
FLAVIANA ANASHIRIKI KATIKA MISA IYO KATIKA MAKABURI YA WAPENDWA WETU WALIOZIKWA IGOMA MWANZA AKIWA ANAMREHEMU MAMA YAKE MZAZI ALIOKUWA MOJA KATI YA WALIFIKWA NA UMAUTI KATIKA AJALI HIYO
MBALI YA KUSHIRIKI KWENYE MISA MWAKA JUZI FLAVIANA ALITOA VIFAA VYA KUJIOKOLEA KUPITIA MFUKO WAKE WA FLAVIANA MATATA FOUNDATION NA ANAHIMIZA WATU NA SERIKALI KWA UJUMLA KUJALI USALAMA WA VYOMBO VYA MAJINI NA USAFIRISHAJI KWA UJUMLA
mvbukobamvbukoba18flaviana matata mvbukoba18
FLAVIANA MATATA PAMOJA NA NDUGU JAMAA NA
MARAFIKI WAKIWA TAYARI KWA SAFARI YA KWENDA IGOMA MWANZA ASUBUHI HII NA SHUKRAN FASTJET KWA KUWEZESHA SAFARI HII

No comments: