Tuesday, May 20, 2014

ISMAIL BIBAGAMBA AKAMATA NONDOZ

Katika Mahafali ya Spring 2014 Commencement (Bowie State University) akiwemo mTanzania anayeishi hapa mjini Maryland Ismail Bibangamba ameweza kutimiza ndoto yake ya kufaulu nondo ya Master of Business Administration siku ya Jumatatu May 19. 2014 Ndani Comcast Center, College Park Maryland Nchini Marekani.
Ismail John Bibangamba akipita picha ya kumbukumbu  baada ya kuchukua nondo yake ya Master of Business Administration, siku ya Jumatatu May 19. 2014 Ndani ya Mjengo wa Comcast Center, College Park Maryland Nchini Marekani. Picha na (swahilivilla.blogspot.com)
Matumaini: Baadhi ya wanafunzi mbali mbali waliofaulu akiwepo Ismail John Bibangamba wakimsikiliza maelezo maalumu mara tu baada ya kukabidhiwa vyeti vyao katika Mahafali ya Mahafali ya Spring 2014 Commencement (Bowie State University) Angalia Mahafali kwenye Video 

No comments: