Bw.Ali Idowa kati kati mwenye kanzu akiwa na jamaa na marafiki waliokwenda kuhudhuria kisomo cha baba yake Ali Idowa kilichofanyika Jumamosi Mei 24, 2014 Silver Spring Md.
Bw.Yussuph mwenyekiti wa Tamko akitoa shukrani wakati wa kisomo cha baba mzazi Ali Idowa kilichofanyika Jumamosi Mei 24,2014 huko Silver Spring Md.
Anti Asha na Mama Nyang'anyi.
Captain Solomon.
Bw.Fofo.
Kutoka Kushoto Anti Asha, Asha Hariz na Asha Nyang'anyi.
Hidaya Mahita kati kati.
Ndugu na jamaa wakipata suna.
Bi.Shalwa na Ali.
Bw.Ali na wanafamilia.Kwa picha zaidi ungana na sundayshomari.com
No comments:
Post a Comment