Familia ya Idowa inawataarifu
kisomo cha baba yao mpenzi Mzee Omar Abdallah Idowa (Baba yake Mzazi Ali Idowa
wa hapa DMV) kitakachofanyika siku ya Jumamosi terehe 24 kuanzia saa saba
mchana hadi saa kumi jioni. Ukisoma taarifa hii tafadhali mtaarifu na jirani
yako.
Kisomo kitafanyika
Spencerville-Mildred
Pumphery Park
15701 Good Hope Rd
Silver Spring
MD 20905
Marehemu alifariki May 15,
2014 na kuzikwa May 17, 2014. Kufika kwako ndiyo mafanikio ya kisomo hiki.
“Inna lillahi
wa inna ilayhi raji'un”.
Ukihitaji maelezo
zaidi wasiliana na wanafamilia katika namba zifuatazo:
Ali Idowa – (301) 633 1282
Asha Nyang’anyi – (301) 793 2833
Joha Nyang’anyi – (240) 372 4183
Rahma Nyang’anyi – (571) 271-8312
Khadija Nyang’anyi – (240) 277-6488
Saleh Halifa (216) 650 0154
Halima Seif – (301)
825- 3492
No comments:
Post a Comment