ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 24, 2014

Mkutano wa Maombi

Tunapenda kuwakaribisha katika mkutano wa maombi kwa ajili ya familia, wagonjwa, makanisa, huduma, na shida mbali mbali. Jitolee muda wotote kati ya masaa haya yaliyopo kadri ya nafasi yako. Ukimheshimu Mungu na yeye atakuheshimu na kujibu maombi yako. Karibu na Mungu akubariki sana.

No comments: