ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, May 22, 2014

KWA HALI HII SASA NI KWELI UBINADAMU MWISHO CHALINZE DAR WOTE NI SAMAKI

Mvua zinazoendelea kunyesha katika jiji la Dar, sasa wakazi kuishi sawa na samaki kila sehemu maji maji kutokana na mvua  za kila siku.

No comments: