ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, May 7, 2014

MAHABA NIUE NA ROHO YANGU NIACHIE

Ukiwa na mke kama huyu ndani ya nyumba wala huitaji mbwa wa ulinzi kwani ni mkali hadi baba mwenye nyumba anageuka kuwa house boy. Chezea mapenzi wewe jichunge au kubari yaishe

No comments: