ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 12, 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MFUKO WA UBUNIFU NA MAENDELEO YA WATU (HDIF)

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rasmi Mfuko wa Ubunifu na Maendeleo ya Watu, unaosimamiwa na Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) wakati wa hafla hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Eng. George Mulamula, wakati alipowasili kuzindua  Mfuko wa Ubunifu na Maendeleo ya Watu, unaosimamiwa na Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) wakati wa hafla hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam, leo
 Baadhi ya wadau waliohudhuria uzinduzi huo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mfuko wa Ubunifu na Maendeleo ya Watu, unaosimamiwa na Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) wakati wa hafla hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam, leo
 Baadhi ya wadau waliohudhuria uzinduzi huo.
 Baadhi ya wadau waliohudhuria uzinduzi huo.
 Baadhi ya wadau waliohudhuria uzinduzi huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mnyaa na baadhi ya viongozi wa Costech, baada ya uzinduzi huo. Picha na OMR

1 comment:

Anonymous said...

Naomba kuelimishwa jamani, hii COSTECH ni NGO au ni shirika la serikali?
Je shughuli zao wanazifanya wapi?
Je wanatanzania wa mikoani kama huko Musoma, Mara, Mwanza, Simiyu,na Singida watanufaikaje na COSTECH??