Marekani imechukua hatua hiyo baada ya vitisho na mashambulizi ya
kigaidi kuzidi kupamba moto nchini Kenya, ambapo jana watu 10 walikufa
na wengine wengi kujeruhiwa kutoana na bomu lililolipuka jijini Nairobi.
Marekani imesema itahamishia baadhi y shughuli zake nchini Tanzania au Ethiaopia.

No comments:
Post a Comment