ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, May 8, 2014

MHE. MAKONGORO NYERERE, MBUNGE WA AFRIKA MASHARIKI ATEMBELEA OFISI ZA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA

Mhe Makongoro Nyerere akisalimiana na Mhe Balozi Grace Mujuma mara tu alipowasili Ofisi za Ubalozi wa Tanzania Lusaka.
Mhe Makongoro Nyerere akisalimiana na Afisa Ubalozi Richard Lupembe mara tu alipowasili Ofisi za Ubalozi wa Tanzania Lusaka.
Mhe. Makongoro Nyerere akiweka saini kitabu cha wagenikatika Ofisi ya Mhe. Balozi Grace Mujuma akishuhudiwa na Afisa wa Ubalozi huo Bw. Richard Lupembe.
Mhe. Makongoro Nyerere akiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na Mhe. Balozi Grace Mujuma na Bw. Richard Lupembe mara baada ya kuweka saini katika kitabu cha kumbukumbu ya wageni cha Ubalozi huo.

No comments: