Miss Dar City Center wakichezo show wakati wa onesho maalum la
kuwatambulisha lililofanyika juzi jijini Dar es Salaam katika kiota cha
Escape One.
Miss Dar City Center wakipozi jukwaani wakati wa kuwatambulisha
lililofanyika juzi jijini Dar es Salaam katika kiota cha Escape One.
Miss Ubungo nao walikuwepo kuwasindikiza wenzao wa Dar City Center.
Miss Ukonga 2014 nao waliwasindikiza wenzao wa Dar City Center katika uzinduzi huo.
Miss Ukonga wakicheza show
Mambo ya zulia jekundu katika uzinduzi huo wa Miss Rad City Center



No comments:
Post a Comment