Missy Temeke Mkurugenzi wa KWETU Fashions hatimaye amefunguka kutokana na maoni ya watu waliopinga tangazo lake la kwamba amealikwa kwenye maonyesho ya tamaduni yanayofanywa na Balozi mbalimbali Washington, DC na kubeba jina la PASSPORT DC yakiwa chini ya Caltural Tourism DC na yanayoadhimishwa kila mwaka wakati huu wa majira ya spring.
Missy Temeke akiongea na Vijimambo mchana leo Jumatatu May 5, 2014, amesema wanaosema sijaalikwa sio kweli muasisi wa PASSPORT DC alinifuata baada ya kuona meza yangu siku ya maadhimisho ya sherehe ya miaka 50 ya Muungano na kuniomba barua pepe yangu na kwamba angependa niwe mmoja ya washiriki kwa kuiwakilisha Tanzania na pia kama naweza kuonyesha mitindo ya mbalimbali ya nguo za KWETU Fashions. Baada ya Hapo mawasiliano yalianza na mimi kuweka tangazo langu kwenye Vijimambo na waosha vinywa kuanza kusukutua bila mswaki huku wengi wakidai nadanganya na wengine kulazimisha kuleta vitu vyao bila kujua meza zimetolewa kwa hesabu.
Mimi Barua yangu ya mwaliko hii hapa mchana kweupe na naomba aliyejileta kwa kudai maonesho yalikuwa ya wazi naomba nae alete barua yake ya mwaliko hapa Vijimambo.
Kwa kuchungulia barua ya mwaliko ya Missy T bofya soma zaidi.



64 comments:
Hiyo English....haya mie napita tu.
Mama wewe nimefurahi umesahihisha ulichokosea ni kujitangaza kuwa dc government wamevutiwa na mitindo yako....unaona tofauti? na pia kama utaweza dada itakuwa bora towa cheti cha ushindi wako wa umiss temeke pia unambiwa mwongo.sifa ya uwongo sio nzuri kwa mtu yoyote.kila la heri
Hio barua mbona kama imetengenezwa???? Iweke wazi huyo aliekutumia.alafu mbona imekutake couple of days kuileta??kuna uwalakini.dj luke usibania huu ni mwaka wa uwazi na ukweli.no tusi but ukweli utabakia ukweli tu.
Barua ya pili alieiedit hajui spelling au?badala ya Husband kaandika Hsuband sidhani kama iyo barua ni legit.khamisa mdogo wangu rudi shule.
Nilikua sijui husband ni hsuband.kwikwikwi.kweli akiki ni nywele
Dah huyu dada anajiskia kumbe hamna kitu
Hivi kama ametudanganya au vinginevyo si yuko ktk kutafuta kama wewe na mimi? Kuna ubaya gani mbona wengi wanadanganya ktk kutafuta? Kama MTANZANIA mwenzetu wajibu wetu ni kukaa kimya na kumsuport ...au ndiyo chuki na kutokupendana ? Tuambieni amewaibia ngapi tutawasuport lakini si haya. .ni unafiki ! Nani asiefahamu wengi wetu hatuna makaratasi lakini tunadanganya serikali na maisha yanakwenda? Acheni chuki ..kama amewatapeli semeni mnachomdai lakini siyo kumuumbua ktk harakati za kutafuta..Tupendane.
Miss Temeke nimekubali You are a super star ,your mbebi wa ukweli hapa DMV na unawanyima watu usingizi wanaacha kazi zao kutaka kujua unafanya nini ,kumbuka waliwai kukwambia unaakaa tuu nyumbani ufanyi kitu ,sasa umeanza kujishulisha mapovu ya mdomo yana watoka presure zinawapanda awakufikii kwa lolote mtoto ulienyooka mzuri,Namna gani vipi mkitaka kumfatilia mbebi uyu mtajitia aibu watu wazima na shape zenu za vitunguu jioni njema na ninawapenda wooooote .
acheni majungu DC mwenzenu at least amejiajiri mwenyewe na yuko happy ni hizo comments ni kama mtu mmoja anaziandika poleni mnao umia!
Mumewe kamuandikia.english imekaa kibongi bongo...kimazabe mazabe.english alioitumia ina accent.hayo ni maono yangu sijui waungwana mnasemaje.alafu emailinaonekana kama imetaipiwa kwenye typerator.
Jamani naomba nitoe ushauri kwa dada yetu MISS T!!! Issue hapa ni ndogo sana NOBODY IS CONTESTING KUWA ULIALIKWA BUT LANGUAGE YA TANGAZO LAKO NDO ILIKUWA NA UTATA. Sababu huyu mama alikwisha waalika watu wengine na hata afisa wa ubalozi aliisha julishwa kuhusu hii event!!! IT WAS OPEN TO ANYBODY. WEWE ULIVYOIWEKA NI KUWA YAANI KATIKA WAAAFRICA WOTE HAPA USA HUYU MAMA HAS "PICKED YOU" TO REPRESENT AFRICAN UNION (BARA ZIMA LA AFRICA) WHICH IS NOT TRUE. DADA HIVI NDIVYO TANGAZO LAKO LILITAKIWA KUWA NA USINGEPATA MADONGO YOOTE HAYA.
MISS TEMEKE CEO WA KWETU FASHION DESIGN AALIKWA KUSHIRIKI MAONYESHO YA MAVAZI IN TOURISM DC. LAKINI UKISEMA DC GOVERNMENT IMEKUCHAGUA OOOOH UNAREPRESENT AFRICAN UNION OOOOH UMEKUWA PICKED THAT IS WHEN YOU LOOK FOR TROUBLE. RUSHA MAMBO YAKO KAMA YALIVYOKUJA!!!! KINGINE PLEASE ACHENI MATUSI UNAWEZA KUJIBU MAKOMBORA WITH FACTS NO NEED OF USING ABUSIVE WORDS.
Khamisa ngoja nikwambie mdogo wangu hakuna aliyesema hukualikwa ,umealikwa wewe na watanzania wengi wengine wengi walikuwepo lakini hukuteuliwa kama ulivyotangaza,haya mambo mbona ya kawaida acheni ulimbukeni jamani.....ushauri tu jifunze kingereza na grammar au mwambie mumeo awe anakundikia.asanteni
haya ndiyo yanayonifanya nisijichanganye na wabongo "drama" tatizo kubwa hapa kwenye jamii yetu ni mambo mawili
1) luck of education na umasikini ndio yanachangia yote haya.very sad
I am neither a fan or a hater.this woman doesn't need to prove anything to anyone.continue to do you.good luck hope all your dreams come true.
Ata kama amedanganya wewe inakuhusu nini.?mwenzenu anaendelea kupata publicity. Na nyie mnae msema mbona hamuweki majina yenu.kila siku mnabakia ANONYMOUS poleni
Wabongo kwa majungu na roho za kwa nini hamjambo...sasa hilo kosa la spelling za husband hivi hamuwezi kuona ni just typing error??wewe mwenyewe umechapia badala ya "akili umeandika "akiki???badala ya kumpa hongera mwenzenu kwa kuweza mnamkatisha tamaa duuh ndo maana kale ka nchi hakaendelei...Nalemaga!!!
mdau wa UK
DC noma. mwe asavali mie nijikalie huku kijijini, neighbor wangu upande wa kushoto miss Dorothy Jean, wa kulia Mr Wood, nyumba ya kwanza kwa mbele zaidi engineer Mr. Chan...we call it America. akina mwanashughuli na vigodoro nafikiri niliwaacha kwa mtogole kitambo! watanzania imefika wakati mjichanganye na wenyeji, it is less stressful and personal life yako inakuwa more private
Nyie Watanzania acheki roho mbaya, whether she was officially invited or not, what is your problem...Kwanini hatupendi mwenzetu afanikiwe. Mara Diamond mchawi, mara...,basi na wewe kuwa nchawi ufanikiwe... Mmenishinda!, Ndio maana hatuambiani mabo ya maendeleo... Wenzetu wa mataifa mengine wanatuacha vumbini kila siku. Mimi yangu nitafanya chinichini tu, mnaokosa ni nyinyi tu wenye kuongea ya wenzenu...Poleni!
~CK
Mwezi uliopita kulikua na kundi la madoctor walikua wanatoa huduma bure apa DMV na kulikuwa na madoctor hadi wakutibu macheez na niliomba watu wengine mje mbadilishiwe dose mkaona natania sasa wewe mdau #5 unamcheka mwenzio kisa kakosea ku speling husband unamcheka na ambae yeye English is her second language sasa na wewe mbona umekosea ku speling umeandika kweli akiki ni nywele ,ivi unajitambua wewe ,tena huono vibaya mwenzanko kaandika kizungu wewe lugha yako ya kiswahili unakosea alafu unamcheka mwenzio,nafikiri unaitaji maombi kwa kakobe .
Mama eeeeeh Khamisa acha kuzidi kujichoresha huoni haya? Hata siku moja barua kama hii haiwezi kuwa imetoka kwa wale waandaaji...jamani Khamisa ebu ona hiyo barua ilivyo na Kiingereza cha Kikwenu daah pole ila Kazi unayo. Maskini unapenda umaarufu ila Mungu hajakujalia na umri umeshakwenda, labda tu Ujaribu kumuandaa Mwanao Aje kuishi Dream zako..Pumzika dada Umeshachelewa.Dj Luke usibanie acha tumpe ushauri anaweza akawa hajijui anavyochemsha ni Aibu kwa kweli.
Ya leo kali!! Wakati nasoma yaani hadi Mkojo Ukanitoka kwa kucheka eti: Iam glad you me...What?? KAZI KWELI KWELI. ACHA YAPITE, ACHA UBISHI NDIO UMESHAUMBUKA ILA SIKU INGINE UKOME KUDANG'ANYA. WATU HAWADANG'ANYIKI SIKU HIZI POLE WEE.
Jamani kwanini Watanzania mnakuwa na wivu na chuki namna hii?, ndiyo maana hatuendelei!. Yote haya ya nini hasa?. Tunatakiwa tumpongeze badala ya kuandika maneno ya kashfa na ya kukatisha tamaa. Ameiwakilisha Nchi yetu vizuri na ni kazi yake kwa ajili yake mwenyewe na familia yake wewe inakuhusu nini hasa?. Tufanyanye kazi tuache longolongo!
DJ Luke usiwasikikize watu kama hawa. Hongera Vijimambo.
Hapo mwisho kabisa kwenye Logo Yao mbona wameandika Savor the date? Yani watafanya kosa Kama hili likiambatana na Logo kweli??. We Si designer mbona hautuwekei picture za runway basi sasa mavazi uliopeleka yako wapi?. Kwani ukiwa na banda ndo runway? ( DJ Luke tafadhari usibane tunaomba atuelimishe tafadhari DJ)
Tuache wivu na chuki watanzania wenzangu kwa nini lakini mtu ufatilie vyote hivyo kama kaalikwa au la yanakuhusu? Hongera dada angu na endelea hivyo hivyo acha wasio kuwa na cha kufanya waoshe vinywa kwani ndio kazi walizo nazo hakuna lingine
Miss Temeke, Hongera. Kuweza kufanya biashara yoyote ile nchi za watu sio rahisi.Unajuhudi sana,na nimfano kwa jamii.Hongera.
Huyu kazidi acha aumbuliwe.muongo mno eti mume wangu doctor.lol.doctor wa kukopy na kupaste
Miss Temeke you don't owe anyone an explanation, it is your life, your business. ingekuwa ndo mimi ningewatukana tu wote hao paperless mazafantaz! watu wa DC mnaboa kama niwachape viboko!
chonde chonde watanzania tuache majungu, wivu fitna na mdomo. Wengi wenu mmekalia kazi Subway na McDonald lakini kila kukicha mnachonga mdomo tuuuuuu.... kwani huyu dada anahitaji ku-prove nini kwa mtu yeyote??? Tuache umbumbu na tuamke usingizini. Ni ushauri tu!
KWIKWIKWIIII HIYO COMMENT YA KUSEMA MISS TEKEKE SUPER STAR DMV...HAHAAAA KAJIANDIKIA KAMA KAWAIDA YAKE KUTAFUTA SIFA...HAUTAKUWA SUPER STAR NG'O KATIKA MAISHA YAKO.. POLE YAKO KHAMISA.
Aibuuuuuu!!!!
umejiandikia micomments yoote hiyo ya kujituliza Aibu.
Kwa mwendo huu,hata URAIA wa PILI hamtapata kamwe....!Hawa wanao waonea wivu wengine ndiyo haoo wanaotaka na kulalamikia kuhusu Uraia Pacha.Je,hapa kweli uraia ukipatikana si ndiyo vita na watu mliowaacha kwa ajili ya kutafuta sasa mnatafutana...
Napita tu.
Hahahaaaaaaaaaa Dj Luka hii ndio raha ya vijimambo bwana,watu wamepanic juu ya mrembo wetu wa dunia Missy T.Hongera sana Missy wetu mama wa kwetu fashion endeleza juhudi achana nao hao wasio na kheri katika maisha yako inabidi wakukubali tu leo kila kona miss t,mtoto umenyooka kumpita twiga.
Ankali luka cheichei nilikua naomba unipe ukumbi kidogo na mie nichangie yangu ,walah! kuishi WASHINGTON DC unabidi uwe na kifua cha mbele na nyuma sasa swali langu nauliza awa wadandia madalala wameolewa ? maana mume nae dawa walah! usipo mwagiwa maji ya rahaa kila siku unachanganyikiwa bila kujijua matokeo yake ndio haya ya kuropoka ovyo na kuingilia mambo yasiyo wahusu jamani nyie mabachela wa DC hebu waifadhini hawa watu wanadhirika walah ! haya ankali luka usinifanyie hinda na comment yangu chonde chonde muungano oyeeeeeeeeee .
WABONGO HAWABADILIKI HATA LEO HII WAKIANZISHA MAKAZI MARS BADO WATABEBA MAJUNGU,WIVU WAO KUUPELEKA HUKO.
Akialikwa asialikwe ni maisha yake na kila mtu aangalie lake haihusu kufatanafatana
Nyie hamjawahi kumsikia huyo miss ush..zi wenu anawananga watoto wa wenzie.anadharau balaa.kila kitu anasema anacho mmmh majangraz.ukiwa nacho watu watakiona tu dada huna haja ya kupablishi.ebu jiangalie umegombana karibu na dc nzima mtu akikwambia ukweli unamkatia.pole yako.unatak usifiwe 365 days a year.ata huyo bff wako ipo siku atachoka.utakumbuka maneno yangu siku moja.dj Luke tunakushukuru sana kwa hili.Ubarikiwe sana.nakupendaga dj huwa hupendelwi.uko nyutro.long live dj wetu
JAMANI WATANZANIA ACHENI CHUKI NA UJINGA WA KUTOKUELEWA ,HAKUNA ASIYEHOSEA KUANDIKA HATA KUSEMA, LUGHA YETU ASILI NI KISWAHILI WEWE UNAEMKOSOA YAWEZEKANA UNAJUA KUSALIMIA HAO WAGONJWA TU KUANDIKA HAKUNA.PONGEZI DADA YETU KWA KAZI NZURI ACHANA NA WAPUMBAVU KAZI ZAO NI KUVUTA WENZAO NYUMA SONGA MBELE KWA MBELE MIMI NITAKUSAIDIA HOINGERA SANA
JAMANI WATANZANIA WAISHIO DC NGOJEENI NIKWAMBIENI KUSEMA UKWELI ACHENI MAJUNGU NA KUTOKUSUPPORTIANA HUYU DADA MIMI SIMJUI NA NIMEFATILIA MAMBO YAKE KWA KWELI ANASTAHILIKA HONGERA KWA BIDII TUNAZOZIONA ANAZOZIFANYA NA HASWA KWENYE MAMBO YAKE YA UREMBO,NA HATA HIVYO ANASTAHILIKA KWA JINSI MUONEKANO WAKE ULIVYO NASIKIA ALIKUWA MISS TEMEKE MWAKA 1998 NA AMEOLEWA NA ANAWATOTO WAWILI LAKINI MUANGALIENI BADO ANADAI HATA MIMI MWENYEWE KUSEMA KWELI NINAMUONEA WIVU ITAKUWA HAO AMBAO WANAOMCHUKIA? JAMANI TUBADILIKENI WATANZANIA WENZANGU WA DC MAJUNGU HAYAFAI KWA KWELI KINACHOTAKIWA NI KUUNGANA NA KUWA KITU KIMOJA SIO KILA SIKU KUDIDIMIZANA.MISSY TEMEKE HUU NI USHAURI KWANGU KWAKO KEEP UP THE GOOD WORK,GREAT JOB.WAKUBALI WAKATAE YOUR THE BEST
Nilikua sijui kama MISS Temeke unajullikana hivi maana blog zote leo upo adi Michuzi ,haaaaaaa wewe kiboko ndio maana senior citizen anaejitia yeye kiduchu wakati anamiaka 56 pamoja na gunia lamkaa na gunia mahindi unawapeleka mbio riziki ya mtu azibiki alie andikiwa ka andikiwa mta ula huuuuu na mme zidi kumpaisha juu miss temeke leo tunaitaji negative comments kutoka kwenu zaidi ,kkkkkkk cheko lako miss mataputapu .
Nimesoma hapo juu mdau anasema ume feki hukuwahi kuwa miss temeke i? Allah akbar hii hatari. Be careful unaweza kustakiwa.ukishangaa ya musa utayaona ya firauni.napita tu
Jamani hamna sababu ya kugombana hiyo hamisa anapenda uongo na wewe mdau unayesema kuhusu makaratasi hao wote hawana makaratsi ndiyo uelewe USA tambarare hebu muulize I Hamisa anaitwa nani jamani ?
Hiyo barua inatia huzuni kwani ilikuwa lazima uiweke siku nyingine jitahidi kingereza kidogo au nunua Rosetta stone itawasaidia nyote katika hili swala gumu la lugha inasikitisha sana
watu wanachekesha Miss mataputapu mbona uyasemi yako kuingilia ugovi usio kuhusu si ulivua nguo wewe kazini kichaa kilikupanda hadi watu wakakufunga mashuka ukapelekwa ST Elizabhet hospital ya vichaa ,ushauri wangu nenda kamuone DR wako tena akubadilishie dose maana unapotokea kila mtu anajua kuna NET work moja kichwani mwako imekufa usikimbilie kwa mganga wa DC utaliwa pesa za bure nenda kamuone DR wako ukichaaa huo ni ushauri wangu wewe MISS Uwanja wa FISI .
Anajulikana kwa sababu anawaomna anawainbox wamuweke bado kuwaomba wamuweke akiwa anaku..ya.anawalilia anawabembeleza niweke andika maneno haya .Rubbish!!!!nyie mnaomsifia hamumjui tulizeni manyanga chini.si mtu mzuri hata kidogo anapenda kuponda wenzie sanaaaa.mkiona tunaongea sna mjue tumechoka!!!!!
Ok.hongera kwa kupata karatasi zako khamisa tangu mwaka jana November.pia napenda kumwambia mdau hapa juu uzuri wa mwanamke sio kuwa twiga,ni viatu tu hivyo vinaongeza urefu ,au kuwa mwembamba,umekaa marekani miaka yote hii bado unapaka mikorogo? Really?usisahau picha zako , za zamani tunazo..na hii tabia ya kusema watoto wa wenzio niliwahi kusikia hata mtoto wa kwanza wa mumewe aliyoko tanzania hamtaki .kuwa mwangakifu midomo ya watu inaleta husda mpenzi wangu
HAKUNA ANAYEKUZUNGUMZIA Wewe hauna talent yoyote ya kuzungumziwa,zaidi ya kuwa mfano mbaya kwa jamii unadanganya hata hukushinda taji la temeke,ma-super stars hawapeleki habari zao wenyewe kwenye ma-blog kila asubuhi habari zao zinatafutwa hawazipeleki kama wewe kila siku una haha kupeleka kwenye mablog childish ,elewa tofauti.hata hapa pia umeleta barua yako mwenyewe uzungumziwe sio tumekurupuka na kuanza kukuongelea umetaka mwenyewe na majibu umepata.
Facts
Au macho yangu?? Mbona hizi barua ni za kawaida tuuu?? Sijaona popote imesema kuwa inatoka DC GOVERNMENT AU IMESEMA AMONG ALL DESIGNERS IN DC YOU HAVE BEEN SELECTED TO REPRESENT AFRICAN UNION??? WOTE TUMEISHI HAPA MAREKANI LONG ENOUGH KUJUA HOW THINGS WORK. KAMA WANGETAKA MUWAKILISHI WANGETANGAZA WATU WAKASHINDANE KUPATA MUWAKILISHI, SHUKURU MUNGU BIBIE ULIKUWTANA NAYE UBALOZINI NA AKAKUULIZA KAMA UKO INTERESTED NA SHOW NA MKABADILISHANA EMAIL NA MAMBO YAKAJIPA. ALIISHAALIKA WATU WENGINE VILE VILE NA EMAIL ZIPO. HAPA NI WASHINGTON DC NA UONGO MWINGINE SI MAHALA PAKE. DO WHAT YOU LIKE TO DO TURUSHIE VIDESIGN VYAKO NA UTAKAPOONYESHA HATA IKIWA WHITE HOUSE BUT HAKUNA HAJA YA KUJIPA TITLES ZISIZOEXIST OTHERWISE UTAISHIA KUSHONEA MASHOSTI WAKO TUU WABONGO HAWAPENDI TABIA HIZO!
Ndugu wakigombana shika jembe ukalime wakipatana nenda kavune ,ujumbe huu uwafikie senior citizen na wewe miss bonge nyanya ,wivu umekujaa tangia utotoe tumbo limekudondoka mwenzio bado yuko fit na hapo anawatoto wawili ,alie kwambie ule chines fried rice na wings kila siku nani bwaaaaaaaa alafu jumlisha madawa ya ukichaa mchezo lazima ufumuke na wivu upande unataka ujulikane mjini eti sifa yako apa mjini ni chiizi tuu basi na ulevi ukilewa unalia ovyo kwaaaaa
You all need to adjust your medications:ABILIFY NOR XANAX seems to be working .GET A LIFE PEOPLE
OOOH MY GOD nilidhani nipo usa kumbe tupo kariakoo ushamba ushamba,ulimbukeni wa hali ya juu sasa lipi la ajabu hapa? ndio maana mimi nawapenda watoto wa oysterbay to be honestly sio malimbukeni,wakubwa wote ndio majirani zao,hawahangaiki na upuuzi huu,vitu vya kawaida tu hivi bahati mbaya mnaviona sasa ukubwani.
kwani kuwa miss lazima uvishwe taji? mie mwenyewe najiita miss songea na watu wamezoea kuniita hivyo sababu ni mzawa wa songea. watu wa DC mapovu yanawatoka kumbe miss temeke anawanyima usingizi eeeh!
Asante mtuu wa 10:11am.umeniacha hoi
watu wa dar wote majungu tu, hakuna cha wa oysterbay wala temeke. watu wasio ni makuu ni wale walotoka mikoani, wako very well mannered!
Naungana na mwandishi hapo juu tuwe wakweli tu oysterbay wamezoweya matawi ya juu tangu watoto, mialiko ,viongozi,nyumba nzuri, nk kawaida hawajavionea marekani hawatapitapi kupiga mapicha wakiona viongozi kama wale wengine wa temeke maana wana haha ,na ulimbukeni/ushamba,wewe mtu mwengine unaona aibu. Mwanachama wa vijimambo.shukran
Mandishi number 10 kaniacha hoiiii bin taaaban kwa kucheka ka! ulishiriki taji hilo ukashindwa maana ulikuwa unalitaka, sasa umeamua kubaki na jina la mwenyewe wewe endeleya kutumia jina miss temeke,kama unavyosema si unaweza kujiita tu hata miss songea,one day wenzio wapinzani wako watanzania watakupeleka mahakamani kwa kutumia jina hilo kinyume na sheria,just kukufedhehesha tu dunia hii ukijuwa hivi wenzio wanajuwa vile.ushauri tu
bwaaaaa endeleeni kuweka more negative comment ndio mnamfurahisha mwenzenu anawanyima usingizi na kuacha kufanya mambo yenu ya maana ,na anazidi kujiona wamaana mtu gani micomment mingi hivi kumbe mnampenda ,kweli huu mji wa DMV umejaa mbururaziiiiiii.
basi tutapelekwa mahakamani wengi, maana mtaani kwetu wote tunajiita miss songea. after all miss ina maana nyingi, in kiswahili meaning binti, binti songea. binti wa mwinyi yaani miss mwinyi nk. nimegundua watu wa DC upeo wa kufikiri na ku-reason ni mdogo sana. punguzeni kula chapati na maandazi na red meat walau muanze kula salad na matunda m-clean your systems mwe!
these days and age watu wanaongelea masaki na oysterbay! hiyo kali. Dar ya leo yote ni sawa hakuna cha oysterbay wala temeke, wote wapiganaji, wote watafutaji. tena hao waliokulia vitongoji ndiyo poa zaidi baba mwenye nyumba una uhakika wa kwenda kazini umekula breakfast ya nguvu, hawa wa uzunguni hachelewi kukupashia pizza ya jana for breakfast tena if you are lucky. na akina baba waliokulia vitongoji wanajua kujituma panapostahili siyo hao wa oysterbay wanaona kinyaa kuzama sehemu husika (wink wink). oh, i am talking from experience. binafsi nimekulia masaki ila majirani wangu wa sasa wa tabata wana roho nzuri sana compare na wale wa uzunguni. oysterbay my foot!
Wivu tu huwo ....wapeni sifa zao angalau sio malimbukeni kama wa temeke.
kwelii jasiri haachi asili minilidhani mtanzania ukija marekani unabadilika kitabia lakini waapi bado wapo vile vile kweli ndoo maana kuna mtu amesema hataki kujihusisha na watanzania kwa sababu hii hii tubadilikeni jamaa tunakuwa kama wa west Africa bhana.
Hivi nyie watanzania wa DC hamna life? Maana badala ya kuangalia yenu munaspend so much time kufatilia ya wenzenu why? Khamisa Kama alikuwa miss T au hakuchaguliwa lakini alishiriki so its enough for her to call her self Mis. T. Sio Kama wale ambao hajui hata design wanajifanya ma design kwa madishdash ya DC market hata ukimpa paka havai halafu munatangaza mbele za watu kuwa unatia stone. Ni Kweli huge zi kuyapata Dubai sababu Dubai hawauzi uchafu ule. Wewe badala ya kupatana nan dugout yako mukawa kitu kimoja unafikiri ukianguka Leo the first person to show is Ur relative. Poleni sana miss. T keep it up continue do Ur thing
Wee mtu wee kuna tofauti saaaana ya watoto wa Oysterbay na Upanga asikatae mtu. Kwani malezi na exposure vinatofautisha watu wanapokuwa watu wazima. Kuna watu hapa mjini tunawafahamu wana mengi wangeweza kujidai nayo naongelea family zenye UTAJIRI na MABISHARA YA KUBOBEA. Tunao hapa mjini. Mtu akienda bongo anafikia kweye mansion siyo KUJIBANA HUKO TEMEKE AU MANZESE. THAT IS THE REALITY. NA HAWA WATU WAMETULIA NA MAISHA YAO WANAFANYA MAMBO YAO IN SILENCE. HAKUNA CHA KUFICHA NI ULIMBUKENI!!! WENGINE MABENZ, MAPAJERO, TROOPER NDO ZILIKUWA GARI ZINATUPELEKA SHULE SASA WENGINE WAMEANZA KUZIENDESHA NA UZEE MPAKA UBANDIKE FACEBOOK AU IPHONE MUMEO KANUNUNULIA INAWEKWA FACEBOOK KUNA WATU WAMEJENGEWA MAJUMBA HAPA MUJINI AU BONGO NA WAMETULIA WATU WAMETEMBEA DUNIA IN RED CARPET NA WAMETULI WAMEKULA VYAKULA NA VIONGOZI WA NCHI MBALIMBALI NA KIMYAAAA!!
ACHENI ULIMBUKENI, LET PEOPLE TRY TO FIGURE OUT WHAT YOU ARE UP TO THAN BEING FORWARD.
Post a Comment