Missy T mkurugenzi wa KWETU Fashions akipata maelekezo kutoka kwa Sameh Alfonse (Duputy Chief Representative of The Arab League) siku ya Jumamosi May 3, 2014 alipofanya maonesho ya mitindo ya vivazi toka kampuni yake ya KWETU Fashions
Mkurugenzi wa KWETU Fashions Missy Temeke akionyesha vazi lake.
Mlimbwende katika picha ya kivazi ubunifu wa Missy T. mkurugenzi wa KWETU Fashions.
Kivazi kingine kutoka KWETU Fashions kutokana na ubunifu wake Misst Temeke.
Mlimbwende akionyesha kivazi ubunifu kutoka kwa mkurugenzi wa KWETU Fashions, Missy Temeke.
Mlimbwende akiwa kwenye kivazi matata sana kutokana na ubunifu wake Missy T.
Mlimbwende wa mitindo akipata ukodak moment akiwa ndani ya kivazi ubunifu wa Missy Temeke.
Mlimbwende akiwa katika pozi ndani ya kivazi ubunifu kutoka kwa Missy Temeke mkurugenzi wa KWETU Fashions.
Mkurugenzi wa KWETU Fashions katika picha ya pamoja a walimbwende wake waliotia fora kwenye maonyesho ya Tamaduni za Mabalozi yajulikanayo kama Passport DC yaliyochini ya Caltural Tourism ya DC ambayo uadhimishwa kila mwaka wakati wa majira ya Spring.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi.
.jpg)

.jpg)
.jpg)

.jpg)

.jpg)
.jpg)

.jpg)
.jpg)

.jpg)
.jpg)

.jpg)
.jpg)


.jpg)

.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)




.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)


.jpg)
.jpg)

11 comments:
Bravo Missy T....Outstanding!!!
Sawasawa.wajibu kwa vitu hivi sio maneno.wanahara.
Good job
Absolutely Wonderful Job "Hongera Sana Dada yetu"Big Up TZ"!
minguo mibaya hivi yani ubunifu hawana
Vitu gani nguo anaazima kwa fundi wa kenye containner.lol
Watu wanawacheka nyie mnao gombana na kutukanana kwenye ma blog.acheni ujinga.nawaonea huruma.mnaitaji kusaidiwa.acheni kutangaza matatizo yenu.poleni sana
Big up my lil sis ....Mungu akulinde na watu wabaya... kaza buti.. maneno ya watu ndo kawaida yao. Umewashinda that's y wanaona wivu... Proud Tanzanian.....much luv... uko juu kama muashock mashallah ...
kunawatu wanaitaji maombi umu mchungaji mwakasege ogonile baba ,tunakuitaji sana hapa mjini ujekufanya maombi maana kuna watu wanajifanya wana majini wakiona wenzao wamefanikiwa kumbe wanavichaa kabisa jina la bwana lisifiwe .miss temeke endelea na mwendo wako wapoteze maisha yamesha washinda aibu zimewashika kila kitu umeweka kweupe wamechanganyikiwa watu wazima wamebaki wana bweka kama chiwawa bwaaaaaaa.
Tena mdau apo juu nipo na wewe wanawacheka sana alafu eti mmoja anasema mwenzanke anamtupia mmajini mara ana mroga ivi kweli wewe kukaa marekani miaka yote hiyo unakua na imani za kwamtogole kule mzenga yani wewe ni zero, marekani hakuna majini wala mashetani ni kunamungu tuu omba na wewe upewe kama walivyopewa wenzio ukiendekeza ushirikina utakuja kuwa cheezi kalaga baho .
Na wewe si ukaazime kwa mavi container nani kakukataza.... Hebu acheni roho za kwanini msiokuwa na haya..Mh Mwigulu Nchemba alisema anashangazwa na watanzania walio ughaibuni badala ya kutafuta maendeleo wao ni ugomvi tu mtu anasafiri masaa 20 "nanukuu" kutoka Tanzania badala ya kubeba vitu vya maana anabeba SANDUKU LA UGOMVI .... Hebu tuone Aibu jamani mpk viongozi wetu wanatujua tabia mbaya zinazoletwa na watu wachache huku TUBADILIKE
Post a Comment