Tuesday, May 20, 2014

PICHA ZINGINE ZA SHOW YA DIAMOND NA OMMY DIMPOZ LONDON, UK

BET Nominee Diamond  akipagawisha mashabiki wake wa Uingereza siku ya Jumamosi May 17, 2014 katika Club ya Malibu chini ya BONGOUK. Diamond alienda sambamba na msanii mwingine wa kizazi kipya ambaye yupo juu kwenye gemu wa muziki wa Bongo Flave, Ommy Dimpoz "Pozi kwa pozi" show ilikuwa nyomi kisawasawa.
Walimbwende wa UK wameshindwa kujizuia huku wakiwa wamepagawa na sukari ya warembo, BET Nominee Diamond na kuwalazimu kukwea jukwaa na kujumuika na Prezdaa wa wasafi.
Shabiki wa Ommy Dimpoz, mzee wa tupogo pozi kwa pozi akijiachia nae siku ya Jumamosi May 17, 2014 kwenye show ya kukata na shoka iliyofanyika ndani ya kiota cha Malibu chini ya BONGOUK na kuhudhuriwa na mashabiki lukuki wa muziki wa bongo flava.
Shabiki akikwea jukwa huku prezdaa wa wasafi, Diamond akipagawisha mashabiki wa UK siku ya Jumamosi May 17, 2014 jijini London, Uingereza.
Prezdaa wa wasafi akifanya vitu vyake.
Mwanabloger Jestina George akimwaga faranga kwa msanii anayekimbiza Bongo na ambaye kwa mara ya kwanza amekuwa nominated kwenye BET award itakayofanyika June 29, 2014 nchini Marekani.
Diamond na vijana wake wa wasafi wakilishambulia jukwaa.
Mashabiki wakishindwa kuvumilia.
Mashabiki lukuki wakufuatilai show.
Picha kwa hisani ya Ally Muhdin UK na kwa picha zaidi bofya soma zaidi

2 comments:

Anonymous said...

Ten Major Signs of the Last Day - Has One Just Occurred?

“I fear for my people only the musicians who lead men, women and children astray”…“When the most ignorant member of a tribe becomes its ruler, and the most worthless member of a community becomes its leader, and a man is respected through fear of the evil he may do, and leadership is given to people who are unworthy of it. (People would vote for diamond today to be President.)
Fornication and adultery would become commonplace, that, also, appears to have already been fulfilled in a modern world in which virginity and marital fidelity are becoming old-fashioned;

Anonymous said...

umesema kweli mdau hapo juu na ndo kinachotokea hivi sasa na ndo maana unaona watu starehe mbele elimu sifuri na misifa sifa ya hapa na pale na uzinzi na wote you nail its on the right target sina hata la kusema halafu jamaa huyu namuona kama freemanson muangaliye mavazi yake.
kwa wenginewe pesa ndo kila kitu akiwa hana pesa hana raha na dunia na ndo wanavyoipotosha jamii watu kama hawa duniani kote wapo