Hapa ni technician wa T.E.S Nyagaly Ebra! akifunga computer maalum ilikumaliza tatizo hilo la moshi mchafu
Dr Temba Engineer wa T.E.S akirekebisha mambo
Hapa ni baada ya kufungwa vifaa maalum vya T.E.S na sasa unaweza kuona hakuna moshi tena.
Machine imesha malizika na sasa company inaweza kufanya kazi bila kusababisha moshi tena.
T.E.S ni company inayo simamiwa na Dr Temba ambae ndiyo Engineer wa vifaa hivyo maalum vya kusafisha hali ya hewa sehemu za viwanda. Vifaa hivyo vinaweza kufungwa hata Tanzania katika viwanda vinavyo toa moshi na kusababisha kero kwa wananchi.
Nyama hii ikiwa inachomwa na machine hizo ndiyo usabisha moshi.
Hapa ni workshop ya T.E.S wakidesign machine mpya na ya kisasa itakayotumia umeme mdogo na pia uwezo wa kutumia gas kwa sehemu ambazo hazina umeme.
2 comments:
SASA MR TEMABE UNATOA AJIRA HEBU TUAJIRI BASI WATANZANIA WENZAKO UMEMUAJIRI IBRA TUU
Hongera sana Dr. Temba kwa kazi nzuri na kuweza kuajiri watanzania. Unastahili recognition kwa kazi yako daktari!!!
Vijimambo hayo ndiyo mambo ambayo tunataka tuyaone katika blog hii. Nawapongeza kwa kutuletea habari hii.
Post a Comment