ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, May 13, 2014

RAIS KIKWETE ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MWILI WA BALOZI WA MALAWI DAR ES SALAAM


Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa heshima za mwisho kwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania Marehemu Flossy Gomile-Chidyaonga leo katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam siku ya Jumatatu May 12, 2914
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa  heshima za mwisho kwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania Marehemu Flossy Gomile-Chidyaonga leo katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam siku ya Jumatatu May 12, 2914

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akitoa pole kwa wanafamilia na maafisa wa ubalozi wa Malawi  alipokwenda kutoa heshima za mwisho kwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania Marehemu Flossy Gomile-Chidyaonga leo katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam siku ya Jumatatu May 12, 2014

PICHA NA IKULU

No comments: