Mchungaji wa Kanisa la AIC la Magomeni akiongoza ibada maalumu ya kuuaga mwili.
Baadhi ya wafanyakazi wenzake wakitoa heshima za mwisho.
Wanasheria wenzake wakiwa wameubeba mwili wa Marehemu Luke Seyayi tayari kwa mazishi katika makaburi ya Kinondoni, Dar.
Familia ya Seyayi Mama mzazi (wa tatu toka kushoto) wakiwa na nyuso za huzuni.
Shemeji wa Marehemu, Judith Mtania (katikati) akilia kwa uchungu.
Ndugu jamaa na marafiki wakiwa na majonzi wakati wa ibada maalumu ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwanasheria wa Wizara ya Maliasili na Utalii marehemu Luke Seyayi iliyofanyika katika kanisa la AIC Magomeni, Dar.
Mmoja wa wafanyakazi wenzake akitoa shukurani kwa niaba ya wafanyakazi wenzake.
Kaka zake Marehemu wakiweka shada la maua.
No comments:
Post a Comment