Sheikh Ilunga Hassan Kapungu enzi za uhai wake.
SHEIKH Ilunga Hassan Kapungu ameafariki dunia usiku wa kuamkia leo kwa ugonjwa wa kisukari jijini Dar es Salaam. Mazishi yake yatafanyika leo Jumatatu saa 10 jioni. Mwili wa marehemu utasaliwa katika msikiti wa Kichangani, Magomeni-Mapipa jijini Dar.
Taarifa hii imetolewa na:
Sheikh Mohammed Kassim,
IPC Ubungo
Dar es Salaam

5 comments:
INNA LILLAHI WAINA ILLAHIM RAJIUN ALLAH AKULAZE MAHALI PEMA PEPONI TUNAKUSHUKURU SANA KWA MCHANGO WAKO ULIYOTOA KWA KUTUFAHAMISHA HAKI ZETU SISI WAISLAMU KATIKA SERIKALI YETU NA JINSI HISTORIA ILIVYOKWA KWA WAISLAMU KATIKA NCHI YETU.
INNA LILLAHI WAINA ILLAHIM RAJIUN
MDAU NY
INNA LILLAHI WAINA ILLAHIM RAJIUN SIMBA WETU MTETEZI UMETUTOKA LAKINI DAIMA UTAKUWA MIYOYONI MWETU NA AKILI MWETU AHSANTE KWA KUTUFUNGUA MACHO JUU YA MFUMO KRISTO
Innalillaahi Wa-innaailaihhi Raaji'uun. Umma umepoteza mtu muhimu sana kwani kila alipoongea, kauli yake iliacha mjadala mkali sana kuanzia mitaani, kwa viongozi wenzake wa dini, viongozi wa siasa na serikali na hata katika majopo ya wasomi. Mwenyezi Mungu aliyemchukuwa aturuzuku mbadala wake hivi karibuni.
Inna lillahi wa ina ilayhi raji'un Allah amlaze mahali pema peponi!
Innalillahi wazima illehi rajj in. Allah amuhifadhi peponi. Amenifungua macho Mimi huku uingereza na ndugu zangu mombasa
Post a Comment