Wednesday, May 21, 2014

Simanzi! Mtoto afungiwa ndani ya kasha kwa miaka 4

Askari Polisi wa Kike (kushoto) ambaye jina lake hakikuweza kufahamika mara moja akimwesha juisi, mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minne (jina linahifadhiwa) aliyekuwa amefungiwa ndani ya chumba kwa kipindi cha muda wa miaka minne na kukaa ndani ya boksi kwenye nyumba iliyopo Mtaa wa Azimio, Kata ya Kiwanja cha Ndege, Manispaa ya Morogoro, (w apili kushoto) ni mama mlezi Mariam Said ( kati kati), ni baba mzazi wa mtoto huyo, Rashid Mvungi na (kulia) ni baba mlezi wa mtoto, Mtonga Omary, hapa walikuwa wakitoa maelezo mbele ya Ofisa Ustawi wa Jamii Mkoa wa Morogoro, Oswin Ngungamtitu (hayupo pichani).

Bofya hapa kufungua blogu ya Beda Msimbe/Lukwangule kwa maelezo zaidi.

2 comments:

Anonymous said...

Huu ni uuwaji kabisaaa sasa serikali imechukua hatua ganii? Mbona waziri wa jinsia ya watoto, kakaa kimya? Kazi hawez ni bora ajiuzuru, lol. .yaan nchi za wenzetu kama marekani ingekuwa ni big issue lakini nashangaa bongo wabunge hawana habari, raisi wetu ndo hivyo tenaa! !! Mawaziri ndo usiseme ni mzigo! !! Wanapata mishahara ya bureee

Anonymous said...

hawa watu hawana ubinadamu. kweli mungu ni mkubwa mtoto ame survive miaka 4 kwenye box maybe she is a special child. awo wazazi wana pashwa kufunga kinfungo cha maisha. maskini mungu amsadie huyo mtoto.