Waombolezaji wakiwa wamelifungua gari la kubebea maiti ili kuweka jeneza lenye mwili wa Adamu Kuambiana leo mchana.
Waombolezaji wakilia kwa uchungu, mmoja akiwa amedondoka baada ya mwili wa Kuambiana kuwekwa kwenye gari la kubebea maiti nje ya moshwari Muhimbili Dar.
Msanii wa Filamu Bongo, Dude akihojiwa na Global TV On Line nje ya moshwari, Muhimbili.
Msanii wa Bongo Muvi Baba Haji akihojiwa na Global TV on line.
No comments:
Post a Comment