ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 24, 2014

MKUTANO WA INJILI WASHINGTON DC MEMORIAL WEEKEND


3 comments:

Anonymous said...

Asanteni sana kwa mwaliko. Kinachikingiza hapa ni siku moja ina matukio zaidi ya manne japo kwa wakaati kidooogo sana unatofautiana!! hivi kwa mtu kama mimi ninayetarajia kuchukua usafiri wa basi au treni kufika hapo mahali kweli nitaweza. Tumeona kuna tano ladies, kuna mpira DMV na NY na huku mkutano tufuate lipi. Then watu wasipohuduhia mnatoa hoja tuangalie na muda wa wadau pamoja na kazi ambazo kwa ujumla zinatuwekeza hapa ugaibuni kwa ajili ya bills over and over!!!

Anonymous said...

Mdau hapo juu, Angalia kilicho muhimu kwako!!

Anonymous said...

Ni kweli sio lazima kila sehemu uende angalia muhimu kwako sawa kabisa mdau hapo juu kasema kitu.