Hiki ndiyo kikosi cha kwanza cha ( NYATI ) kitakacho iangamiza DC jumamosi hii ya Memorial weekend. DC wanajigamba na kusema kufungwa na New York ni sawa na dagaa kummeza paka, Na New York wana sema kufungwa na DC ni sawa na sungura kumkaba kobe. Habari ndiyo hii mwisho wa yote ni tarehe 24, timu ya New York itaingia DC usiku wa Ijumaa na kuweka kambi ya masaa 20 kabla ya kushuka uwanjani.
Arachuga boy akitia njaa kwenye lango la wapinzani kwa bao lake moja la mguu wa nuksi DC kazi wanayo.
Rich (Kamachumu) boy YUPO tayari kusafisha pale nyuma mashmbulizi yote kutoka kwa forward ya DC.
The Golden boy akionyesha kiwango
No comments:
Post a Comment